Diabetes(Dad tribute) Lyrics

KHALIGRAPH JONES Kenya | Rap,

Diabetes(Dad tribute) Lyrics


Najua imekuwa siku kadhaa 
Before tuchapiane I hope unaskia
Ulituacha bila kutuaga mpaka wa leo bado naumia
Nikiwa solo mi hucheza chini
Staki waone ka star analia

But nimegather gut za kutosha
So kuna vitu nataka kuwaambia
Day ulipass ulituacha pabaya
Deni za duka na rent arrears

Landlord alinichuja kwa keja
Despite kujaribu kujitetea
Nilijaribu kumskiza umededi
Lakini bado walining'orea

Akadai ka hakuna doh nampea
Then hakuna kitu tunaongea
Ikabidi tumeanzia scratch 
Tukahamia Dandora

And even though it wasn't much
Bado tulimshukuru Mola
Ulituacha kama hatujajipanga
Kifo yako ilikuja na visanga

Ulituacha ka tumesota 
Kidogo tushindwe ata kukufanyia matanga
Wale ndugu zako ulisaidia
Imagine mazishi hata hawakukuja
Na ile shamba ulikuwa nayo huko Bondo
Pia nimeskia ni ka imeuzwa 

After upass ilikuwa tu ni pain
Vitu ziliacha kukuwa the same
Just know that we miss you dad
And I really hope imma see you again

RIP

KHALIGRAPH JONES (27 lyrics)

Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in Kenya, Khaligraph Broke into the Kenyan Music scene in 2009 after winning the Kenyan Edition of the Channel O Emcee Africa competitions at the age of 19, among the names that Khaligraph Has worked...

Leave a Comment