Ngoja Ngoja Lyrics
Ngoja Ngoja Lyrics by KGG
(KGG)
Ngoja ngoja lockdown niko na bado zinapita
Sponsor, sponsor alinyuria ngeus akasota
Itoka, itoka ikitoka lazima zitalia
Informer, Informer alisoma mboka ikaisha
Ngoja ngoja lockdown niko na bado zinapita
Sponsor, sponsor alinyuria ngeus akasota
Itoka, itoka ikitoka lazima zitalia
Informer, Informer alisoma mboka ikaisha
Tokea kwa scene mdagi mdagi
Si unajua ni Kitu gani
Ama namna gani kichwa imejaa mangwai
Wao huniita Peter marangi
Ngoja mi hupita na ngai
We mi shit nakuflash mpaka Ruai
Nakuzima za kivulai
Wapi wapi we uliskia wapi
Vita ya ndenga unatokea na ukapi
Hao si mababi ni mabandit
Ndo umeingia tunakuonyesha exit
Hujai exist, huwezi resist
Fucked up ni KGG
Tunakukatia hewa Covid19
Tunakuwacha umetiii
Ngoja ngoja lockdown niko na bado zinapita
Sponsor, sponsor alinyuria ngeus akasota
Itoka, itoka ikitoka lazima zitalia
Informer, Informer alisoma mboka ikaisha
Ngoja ngoja lockdown niko na bado zinapita
Sponsor, sponsor alinyuria ngeus akasota
Itoka, itoka ikitoka lazima zitalia
Informer, Informer alisoma mboka ikaisha
-----
----
Watch Video
About Ngoja Ngoja
More KGG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl