Solo Lyrics by KASH KAARIA


Hey babe, I don’t know what to say
Ye anasaka tu dhudha, me nasaka tu Kash yeah
Lakini unajicheza boy ur messy
Unadhani sikujia were hitting on my bestie

And now I’m on my own nafeel so low
Niko na hasira na makasiriko
Kwa kweli cha mtima cha mayo
Leo una wako kesho you never know

Lakini sio form
Kuchezwa issa no
Heri nibaki solo lo lo lo
Nobody nuffi know
Kanairo issa no
Heri nibaki solo lo lo lo
Heri nibaki Solo!!

Sheesh, zii, wueh, ghaii, ghaii
Heri nibaki Solo!!
Sheesh, zii, wueh, ghaii, ghaii

See I gave you love
But you never felt it
Ooh boy, I knew that you were selfish
I’ve been trying all best to forget you
I’ma replace yah, coz I’m a replacer

Cause now I’m on my own, happy solo
Siko na hasira na makasiriko
Jamani hii kanairo nakushow
Leo unawako kesho you never know
Lakini sio form
Kuchezwa issa no
Heri nibaki solo lo lo lo
Nobody nuffi know
Kanairo issa no
Heri nibaki solo lo lo lo
Heri nibaki Solo!!

Sheesh, zii, wueh, ghaii, ghaii
Heri nibaki Solo!!
Sheesh, zii, wueh, ghaii, ghaii

Yah, Kabaya
Na kama haiwezi nazidi
Kama ni mchezo, ni siaka ni speedy
Nakutext nikiwa maji kigidi
Machozi nimetoa inajaza Indie na
Ulinipima kwa nini
Nilidrop mahoe ndio nikuamini
I was the prize, man better believe it
Huskii aibu ona hanini but
Uzuri sikudelete manumber za maregular
Mapeddi na mahandler wa mali safi
Nilipanda calibre
Ukipiga simu, nitashika sina ubaya
Lakini heri nibaki solo
Uliza ata Kaaria

Heri nibaki kuwa solo
(Zii, sheesh,zii, ghaii, ghaii)
Heri nibaki kuwa solo
(Zii, sheesh,zii, wueh, ghaii, ghaii)

Solo, solo
Heri nibaki solo
Heri nibaki solo
Solo, solo
Heri nibaki solo
Heri nibaki solo

Watch Video

About Solo

Album : Strings Attached (EP)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 02 , 2021

More KASH KAARIA Lyrics

KASH KAARIA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl