Majeshi Lyrics
Majeshi Lyrics by KAKI MWIHAKI
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, uinuliwe
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, eeeeh
Cheza vinanda, vigelegele, cheza kayamba
Mungu wa majeshi yuko hapa
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, uinuliwe
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, eeeeh
Wamajeshi, Wamajeshi
Wamajeshi, Wamajeshi
Uinuliwe
Wamajeshi, Wamajeshi
Wamajeshi, Wamajeshi
Uinuliwe
Who makes a way in the wilderness eh, rivers in the dry waste land
Who makes a way where there’s no way, najua, ni wa Majeshi
Who makes a way in the wilderness eh, rivers in the dry waste land
Who makes a way where there’s no way, najua, ni wa Majeshi
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, uinuliwe
Wamajeshi, wamajeshi uinuliwe eeeh, eeeeh
Wamajeshi, Wamajeshi (Wewe Mungu wa Majeshi)
Wamajeshi
Uinuliwe
Wamajeshi, Wamajeshi (Wewe Mungu wa Majeshi)
Wamajeshi
Uinuliwe
Umeshinda vita, Umetenga njia
Wamajeshi, Uinuliwe
Umeshinda vita, Umetenga njia
Wamajeshi, Uinuliwe
Cheza vinanda, vigelegele
Cheza kayamba,
Mungu wa majeshi yuko hapa
Umeshinda vita, Umetenga njia
Wewe ni Wamajeshi
Watch Video
About Majeshi
More KAKI MWIHAKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl