Kucha Lyrics
Kucha Lyrics by JUMA NATURE
Ni mzuri ang'ara ng'ara mpaka kwenye kioo
Anapenda mgumu kama mimi hampendi bishoo
Hajaungwa kwa wese la mchina kaungwa na nazi huyoo
Nusurobo atingize kiuno engineer soma iyoo
Hataki hataki watoto wadogo watampa nini huyo
Ni pini kali huyo ni pisi nadhani uno
Na ana mafumba huyo Chege mkamate huyo
Aje Kigoma huyo na akibonda huyoo
Mkali huyo, nanana.. mkali huyo
Mkali huyo, amenona huyo
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata ma mdogo kucha unang'ata
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata kwa aibu kucha unang'ata
Marashi ya karafuu yanaponesha flu
Uzuri wako tu unanikuta niko juu
Mpole mtoto wa watu wala hanaga makuu
Uzuri wako tu mtoto nakuweka juu
Mkali huyo, nanana.. mkali huyo
Mkali huyo, amenona huyo
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata ma mdogo kucha unang'ata
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata kwa aibu kucha unang'ata
Marashi ya karafuu yanaponesha flu
Uzuri wako tu unanikuta niko juu
Jiachie ng'ata kucha mpaka kuna kucha (Kucha)
Wacha wabanwe na chuki pilau wananusa (Nusa)
Wakali wote wa mtaa ona wanapanguza (Nguza)
We niache nicheze na mchumba usijeniguza (Guza)
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata ma mdogo kucha unang'ata
Mtoto unang'ata kucha unang'ata
Mbona unang'ata kwa aibu kucha unang'ata
Mkali huyo, nanana.. mkali huyo
Tumezima vibatari, zii ah zima tu
Zima vibatari, zii ah zima tu
Zima vibatari watu wote tuzime vibatari
Tumezima vibatari, zii ah zima tu
Zima vibatari, zii ah zima tu
Zima vibatari watu wote tuzime vibatari
Zii ah zima tu, zii ah zima tu
Zii ah zima tu, zii ah zima tu
Watch Video
About Kucha
More JUMA NATURE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl