JOSE WA MAPENDO Nitabibu wa Karibu cover image

Nitabibu wa Karibu Lyrics

Nitabibu wa Karibu Lyrics by JOSE WA MAPENDO


Ni tabibu wa karibu tabibu wa ajabu;
na rehema za daima ni dawa yake njema.

Imbeni, malaika sifa za Yesu Bwana
pweke limetukuka jina lake Yesu

Hatufai kuwa hai wala hatutumai
ila yeye kweli ndiye atupumzishaye

Imbeni malaika sifa za Yesu Bwana
pweke limetukuka jina lake Yesu

Dhambi pia na hatia ametuchukulia
Twenendeni na amani hata kwake mbinguni

Huliona tamu jina, la Yesu kristo Bwana
yuna sifa mwenye kufa asishindwe na kufa

Kila mume asimame, sifa zake zivume
Wanawake na washike kusifu jina lake.

Na vijana wote tena, wampendao sana,
waje kwake wawe wake kwa utumishi wake.

Kelxfy

Watch Video

About Nitabibu wa Karibu

Album : Nitabibu wa Karibu (Single)
Release Year : 2008
Copyright : ©2008
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 28 , 2020

More JOSE WA MAPENDO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl