Corona by JIMMY GAIT Lyrics

Ilikuwa ni Monday morning
My phone ika ring ring ring
Nilipokea simu yangu
Ilikuwa ni Akinyi

Amekuwa ni rafiki wa karibu
Just the other day kaolewa majuu
Hey hello, 'Jimmy' 
'Are you okey? Are you okey?' 

Your husband?
Ni nini imefanyika?

"Bwana yangu amekufa, 
Alikuwa anakohoa sana, joto jingi
Na kushindwa kupumua
Daktari alisema ni Corona"

Oooh Corona, watisha ulimwengu
Lakini Mungu yupo, itakuwa sawa
Itakuwa sawa(Sawa sawa)
Tukitizama Mungu, itakuwa sawa(Sawa sawa)

Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sa, sawa sa, sawa sawa
Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sa, sawa sa, sawa sawa

Hata kama kuna wingu limetanda
La Corona linatisha sisi wote
Kwa pamoja tunaweza kujikinga
Kwa kufuata maagizo kama haya

Kwa mara nyingi osha mikono yako kwa sabuni
Na usiguze macho, mdomo na hata na mapua
Ni bora ufunikie mdomo kama wakohoa
Maumivu yakizidi ona daktari
Na walioadhirika ni watu kama sisi 
Tusiwaachilie

Oooh Corona, watisha ulimwengu
Lakini Mungu yupo, itakuwa sawa
Itakuwa sawa(Sawa sawa)
Tukitizama Mungu, itakuwa sawa(Sawa sawa)

Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright

Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright
Everything is gonna be alright

Music Video
About this Song
Album : Corona (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 14 , 2020
More Lyrics By JIMMY GAIT
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment