JADI Sleki cover image

Sleki Lyrics

Sleki Lyrics by JADI


[VERSE 1: Ethan Muziki]
I think it's crazy, aliruka hello
Akashtuka ako home na mimi
Lakini siwezi dedi
Tukibaki alone, when you're calling my phone
I hope unajua siwezi sleki, Cheki
Ushaniwasha videadly
Waiting for your text on my phone yes you know I'm still checking
When you want to call me it's amazing
Playing hard to get, oh, if I get to you, you, you
Oh no! Nairobi kuna stori
City love inaweza leta ngori
Everyone's got their guard up I say
We all want somebody but do we want to stay?
Tonsils the way that you're sweet are coming my way
Time ya Lockdown
Utapata Knock down

[CHORUS]
Mi siwezi sleki, Mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo
Mi siwezi sleki, mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo, solo

[VERSE 2: Don Tumbo]
Oh, oh nimetembea streets noma sana, (sana, sana)
Ukitafuta sana kunabore
Moyo wangu unajua ushaisanya, (sanya, sanya)
So come on baby can I take you home
na siwezi angusha
Ona unafanya nasimama kama bouncer yeah
Ulimi appetizer
Nikikuchapa lugha najua huwezi counter

[CHORUS]
Mi siwezi sleki, Mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo
Mi siwezi sleki, mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo, solo

[VERSE 3 : Lil Vince]
Ukinipa chance, Nitadance nawe
Ooh, how you come through
Ya make it hard, Mawe
But ukinishika in your hands
We more than just friends
My shorty I'm your man na I won't lie nakupenda
Vile si hu-connect kama Xender
Nikupe love in my tempo (tempo)
Juu for you na-go mental (mental)
Nipe love in your tempo (tempo)
Juu for you na-go mental, oh yeaah
Mi siwezi sleki, no
Sitaki kubaki solo
Mi siwezi sleki no
Sitaki kubaki solo, Yeaah

[CHORUS]
Mi siwezi sleki, Mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo
Mi siwezi sleki, mi siwezi sleki
Sitaki kubaki, sitaki kubaki solo, solo

Watch Video

About Sleki

Album : Sleki (Single)
Release Year : 2020
Added By : Farida
Published : Sep 11 , 2020

More JADI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl