Ni Wewe Lyrics
Ni Wewe Lyrics by J SISTERS
Utukufu na heshima ni vyako bwana
Wewe ni Mungu wangu
Utukufu na heshima ni vyako bwana
Wewe ni Mungu wangu
Utukufu na heshima ni vyako bwana
Wewe ni Mungu wangu
Utukufu na heshima ni vyako bwana
Wewe ni Mungu wangu
Elohim You are my King
Elohim my sovereign King
Elohim You are my King
Elohim my sovereign King
Ni wewe, ni wewe tuu
Ni wewe Bwana
Ni wewe, ni wewe tuu
Ni wewe Bwana
My saviour, redeemer, my healer
Mwokozi, mkombozi, mponyaji
My saviour, redeemer, my healer
Mwokozi, mkombozi, mponyaji
Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana
Ni wewe Bwana, Ni wewe Bwana
It's only you Jesus
It's only you Jesus
Ni wewe, ni wewe tuu
Ni wewe Bwana
Ni wewe, ni wewe tuu
Ni wewe Bwana
Give Him all the praise
Nobody nobody nobody like you
Tamalaki bwana, uinuliwe Bwana
Oooh, ni wewe halleluya
Ni wewe Bwana, oooh
Watch Video
About Ni Wewe
More J SISTERS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl