Zawadi Lyrics
Zawadi Lyrics by ISHA MASHAUZI
Nauliza wako wapi walosema haolewi (Yamekuwa)
Nauliza wako wapi walosema haolewi (Yamekuwa)
Sasa wako wapi walosema haoelewi
Sasa wako wapi walosema hataolewa eeh
Maua maua, vigelegele pambio
Penzi limetoka mbali ona linachanua hilo
Tulia tulia niache nachunga chungio
Mtamu kama asali, lilupwa tokeni mbio
Tembea kwa madaha pasi na aibu usoni (Ringa)
Starehe kwa madaha asubuhi na jioni (Ringa ee)
Siku iwe furaha niwe wako moyoni
Mlaji mla leo mla jana kala nini mama ee
Mwaiona ee, mwaiona ee
Mwaliona ee, mwaliona ee
Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Mmmh zawadi nimepewa ninayo mwilini
Umbo lake maridhawa ipo chini kwa chini
Naitunza kama kawa sikubali ishuke dhamani
Hakuna wa kuichukua baini lako mwanja
Tembea kwa madaha pasi na aibu usoni (Ringa)
Starehe kwa madaha asubuhi na jioni (Ringa ee)
Siku iwe furaha niwe wako moyoni
Mlaji mla leo mla jana kala nini mama ee
Mwaiona ee, mwaiona ee
Mwaliona ee, mwaliona ee
Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Aya nyonga nyonga nyonga nyonga
Nyonga nyongesha
Kata kata, kata mpenzi kata
Kata kata, kata baby kata
Kiuno chako mwenyewe
Wala hukuazima we
Kata kionyeshe we
Kata hebu waone
Acha ninyonge nichangamshe damu
Niache nicheze nichangamshe damu
Niache ninyonge nichangamshe damu
Niache nicheze nichangamshe damu
Niache ninyonge nichangamshe damu
Niache nicheze nichangamshe damu
(OMG is better Sounds)
Watch Video
About Zawadi
More ISHA MASHAUZI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl