Leo Lyrics
...
Leo Lyrics by IBRAAH
Kama nimetoroka milembe
Sina chambi
Nacho amini ipo siku ntazipata najua
Ogopa dhambi
Shukuru mungu kwa pumzi unayo pumua
Siku hazigandi
Nacho shukuru sikuzi wanafki wamepungua
Uongo dhambi
Sote tunajua, tunajua
Dunia ni kambi
Na maisha ni hatua kwa hatua
Uki mind mind
Likipangwa huwezi pangua kupangua
Kabla ya chochote lolote eh
Mungu kwanza
Na tukipata tunashukuru
Mungu kwanza
Oya popote kivyovyote eh eh
Mungu wa kwanza
Na tukikosa hatukuru
Mungu kwanza
Ooh ooooh oh
Naishi leo siishi jana
Ooh ooooh oh
Anaepanga kesho maulana
Ooh ooooh oh
Naishi leo siishi jana
Ooh ooooh oh
Anaepanga kesho maulana
Yaw yaw
Mitaa imenifanya niwe konde (konde)
Napendwa ninenepe nikonde
I don’t fear them
Simuogopi mwenye kisu
Maana mungu wangu anapanga
Hata wakifanya figisu bure
Hunioni kwa waganga
Kongegang chama lenu
Hili goma kwajili yenu
Wengine wote bebe zenu
Ila kajala ndio mama yenu
Eti sifanikiwi
Mara ooh ex harudiwi
Shida nikisha vuta mi kiziwi
Nikisha moker mi kiziwi
Kabla ya chochote kwa lolote
Mungu kwanza
Tukipata tunashukuru
Mungu kwanza
Popote kivyovyote
Mungu kwanza
Tukikosa hatukuru
Mungu kwanza
Amen
Naishi leo siishi jana
Ooh ooooh oh
Anaepanga kesho maulana
Ooh ooooh oh
Naishi leo siishi jana
Ooh ooooh oh
Anaepanga kesho maulana
Yaw yaw
Konde boy call me number one
Chingaa
Konde music worldwide
Watch Video
About Leo
More IBRAAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl