Ganji Lyrics by HASSAN


Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji ah
Dem yako weka mbali
Dem yako weka mbali

(Motif Di Don)

Ganji, ganji ganji ganji
Ganji

Dem yako ananidai ka makanga
Matako anatingiza ndani ya kanga
Matatu anawabeba hawa vijana
Sidai nimekafunga nimechapanga

Move snitch, loose lips niggas trash
You can spit up like the broomstick ah ah
Mzito, ugali and beef we eat meat
You -- you see me in the streets don't halla me
Your girl pulled up 3 days she ain't about to leave
She play don't hate don't hate me 
Is gon be what gonna be 
--
--

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji 
Ganji, ganji ganji ganji

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji 
Ganji, ganji Ssaru mi nataka tu maganji

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji ah
Dem yako weka mbali
Dem yako weka mbali

[Ssaru]
Nimeripoti na niko na bag ndani imebaba kidungi
Rada ni chafu ju niko na rende imeleta kivumbi
Roho ni chafu mi nikikutoka naapa walai sirudi
Venye wanaroga wanajua naharibu ju bado tu mi ndio fundi
Natesa na ni makusudi juu ya pesa naweka juhudi
Sura mbaya na uko moody sai kitu sina ni budi

Nacheki msupa mahali ana rangi ya thao na ye ni msudi
Mi hukesha na sala nijengwe na fame ndiposa nyumbani nirudi
Leo niko lembe sitaki maform ju manze mi niko matembe
Na maunenge zikinishika najua niko rada ya sembe mmmh
Mi ni mgenge niko kejani navibe na ngoma ya Jeje
Kama kijembe venye nafyeka wametambua rong ni rende

Raga raga mi ni mkali wao
Mi nakuchenga ndo nifunge bao
Bro una thati nikujenga mbao
Alafu ka ni kiki mi sipendi zao
Yo sick flow now I need a doctor
Nipe ball ka unapenda soccer
Uko ithaa ya fisi sai mi ni pocher
Huwaga sina ubishi ju najua unachocha

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji 
Ganji, ganji ganji ganji

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji 
Ganji, ganji Ssaru mi nataka tu maganji

Hassan mi nataka tu maganji ah
Hassan mi nataka tu maganji ah
Dem yako weka mbali
Dem yako weka mbali

Watch Video

About Ganji

Album : Ganji (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 03 , 2021

More HASSAN Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl