You Lyrics by HARMONIZE


Bboy on the beat
Mmmmmh
Mmmmmh yeah

Mikono juu na surrender
Acha dunia ijue muuni amenpenda
Wangapi walikuja wakaenda, mbona ni weweee
Mwenzako nahesabu calendar siku na masaa yanakwenda
Hebu fanyaurudi nakupenda basi nielewee eeeh
Kitaniumbua kifo kifo nikiyaficha maradhi
Sikujua before before kumpata unaempenda ndio kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia pengine labda utakasikia
Ishara tosha kuwa najutia fanya unisamehe ni mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria mazito tuliyo yapitia
Yaliyo kufanya utaki ata nisikia nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika hata unae mbhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani au tufunge ndoa kanisani
Oooh beibey

I miss you
I miss you
I miss you
I miss you

Kweli mapenzi hayaa ujanja
Hayajali jina mkwanja
Yani nimepita kila kiwanja ila nimesasa kwa motto wa masanja
Wewe ni mtu wa mungu tena mlokole yanini app ya mange
Wapiga majungu wakina lokole wanao pakaza me nakula bange
Naanguka makosa tena nipo radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malikia tuje kuanza tulipo ishia eeh eeh
Waambie mashoga zako si kwa ubaya
Ila me sipendagi kuongea unamsemaje mwenzako bangi mbaya
Kama hujawahi hata mgongea
Hakuna aliye kamilika hata unae mdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika naamini siku itafika
Tumwite sheikh na ubani au tufunge ndoa kanisani
Oooh beibey

I miss you
I miss you
I miss you
I miss you

Of course bboy on the beat
Konde boy call me number one
Bakhresa
It’s what it is baby I want to come back
It’s what it is baby I want to come back
Come back my baby

Watch Video

About You

Album : You (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Apr 22 , 2022

More HARMONIZE Lyrics

HARMONIZE
HARMONIZE
HARMONIZE
HARMONIZE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl