Jela Lyrics
Jela Lyrics by HAMO PROF
I say ah umefunga pete
Najua nitakuvisha pete
Baby surrender tupae kama mwewe
Kusema kweli nimefall for you
Pia ni kweli vibez zako zihuwanga true
Si unajua baby one plus one huwanga two
But am taking slow I donno kama unanibelieve
Ready to roll and I know you are feeling the same
Nikupende, nikutunze
Kama nyota angani tung'are hee
Kama jua jioni tuzame
Kama nyota angani tung'are he hee
Kama jua jioni tuzame
Eh kama ni tisa si mi nitapigana usipate shida
Chochote unataka si mi nitatafuta hata kama nitaiba
Wanakumezea ju mtoto umeweza unawapa shida
Dance along to my tune, I wrote this song just for you
Najua unapenda mabuyu
Vitu tamu tamu just like you
Nashuku umemeniwekea juju
Penzi lako jela hukumu
Oh but I'll take it slow
I don't know kama unanibelieve
I'm ready to roll
And I know you are feeling the same
Nikupende, nikutunze
Kama nyota angani tung'are hee
Kama jua jioni tuzame
Kama nyota angani tung'are he hee
Kama jua jioni tuzame
But take it slow, take it slow take it slow
I'm ready to roll, roll
But take it slow, take it slow
I'm ready to roll, roll
No no no no...
Nikupende, nikutunze
Kama nyota angani tung'are hee
Kama jua jioni tuzame
Kama nyota angani tung'are he hee
Kama jua jioni tuzame
Kama nyota angani tung'are he hee
Kama jua jioni tuzame
Watch Video
About Jela
More HAMO PROF Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl