
Keroma Na Doba Lyrics
Keroma Na Doba Lyrics by GWAASH
Fatboy Gwaash
Aminia mungu joh
[CHORUS]
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
[VERSE 1]
Mungu baba tangu niku DM imekua so long
Lakini nafeel our bond is still strong oo
Utamu nilionja kwako kanisani mi sitoki wee ndio doki
Makeki macookie magode misichoki
Watumishi wako wanazidi kudemand full respect
Waumini wako bado still in full distress
Umenibariki vishenzi mistari vitenzi
Kuogelea ndaka ya magwado na meli
Nyunyizia sabuni ya moyo kwa hawa bunadamu
Coz ever since eva apigise adamu
Mbogi taking imegeuka ya vinyamuu
Wakilia legalize fikiria prioritize
Utu na kutu
Chorea roho ngumu saidia MTU
Njoki angekua anakula neno kama fare
Jee kamdudu kangekua still there
(Jee kamdudu kangekua still there)
[CHORUS]
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
[VERSE 2]
Mungu baba ninasema amen, kunitoa kwenye streets kunisave
Kunitoa to rahani, ilikua soo hard
Juu ya mawe bila shabzz, bila lunch
Wengi wetu tulikua tunathink kama thugs
Lakini tangu unisave
Uniweke kwenye mboka ya mziki
Imekua life changing to the rest
Kama bado haijajipa amina
Kama God alinisave pia wewe atakusave
[CHORUS]
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni keroma na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Twende mbinguni kerona na doba
Keroma na doba, keroma na doba
Watch Video
About Keroma Na Doba
More GWAASH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl