Nakungoja Lyrics
Nakungoja Lyrics by GRACE KAVESU
Kama vile ayala atamanivyo maji
Kule jangwani nakungoja
Kama vile ayala atamanivyo maji
Kule jangwani nakungoja
Kama vile ayala atamanivyo maji
Kule jangwani nakungoja
Kama vile ayala atamanivyo maji
Kule jangwani nakungoja
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Utanifunika na mabawa yako
Nitapata usalama kwako
Wewe Mungu kimbilio na ngome yangu
Utanifunika na mabawa yako
Nitapata usalama kwako
Wewe Mungu kimbilio na ngome yangu
Nakungoja, nakungoja
Nakungoja, nakungoja
Nakungoja, nakungoja
Unihuishe
Nakungoja, nakungoja
Nakungoja, nakungoja
Nakungoja, nakungoja
Unihuishe
Baba, Baba Baba
Baba, Baba Baba
Baba, Baba Baba
Baba, Baba Unihuishe
Roho, Roho Roho
Roho, Roho Roho
Roho, Roho Roho
Roho, unihuishe
Yesu, Yesu Yesu
Yesu, Yesu Yesu
Yesu, Yesu Yesu
Yesu, Yesu unihuishe
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Nakungoja unihuishe
Watch Video
About Nakungoja
More GRACE KAVESU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl