Harmonize Never Give Up(Cover) Lyrics

GOLD BOY Tanzanie | Bongo Flava,

Harmonize Never Give Up(Cover) Lyrics


Let me tell you my story
Nimezaliwa Kigoma Tanzania
Huko kijijini Kazangezi
Hapa mjini nimezamia

Ndoto zilikuwa kukata sof
Mara ghafla kwa muziki zikahamia
My daddy am sorry 
Kanisani haukupenda uliposikia

Kama utani si nikaanza kuimba
Mungu si Athumani nikakutana na Beka
Akanipiga company japo kuna walo pinga
Kwamba sina kipaji

Fitina za chini chini mara 'Gold' anavimba
Atapendwa na nani? Muhali wataka kuimba
Nikajipa imani ipo siku nitashinda
Maana Mola ndo mpaji

Yeah
Now I make my paper
And I bless my family
Kuna walionicheka
Enzi navaanga kanda mbili

Never, Never, Never
Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona 

Never, Never, Never
Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa, hangaika kila kona

I remember Mama told me my boy
Binadamu hawana wema
Watakuchekeaga usoni
Ukiwapa kisogo wanakusema

Usihifadhi chuki moyoni
Yalipe mabaya kwa mema
Jifanye hukumbuki huyaoni
Ndo maandiko yanavyosema

Nilimtanguliza Mungu kwa Swala
Mara ghafla kaja na Mso Msaada
Ah, thank you my Silver Boy 
You love me, you support me 
Nabaki juu

Shout out kwa my nigga Davi wa Ji humble
Jabin na Mortiz , I got love for you
Mnyama Mkali, basi na take it humble
Waambie tunapita so mikono juu

Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga
Long way to go
Ila naiona afadhali, kulala uhakika
Na kula sio ka before

Najua maisha safari, mimi bado sijafikaga
Long way to go
Ghetto na kibatari, kiangazi masika
Ikaja mvua vyote vyako

Now I make my paper(my paper)
And I bless my family
Kuna walionicheka(nicheka)
Enzi navaanga kanda mbili

Never, Never, Never
Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa maana Mungu anakuona 

Never, Never, Never
Never, Never, Never, Give up!
Never, Never, Never
Usikate tamaa, hangaika kila kona

GOLD BOY (3 lyrics)

Gold Boy is an artist from Tanzania best known for popular music covers.

Leave a Comment