Petepete Lyrics

GMAN GICH Kenya | Zouk,

Petepete Lyrics


 [VERSE 1]
Angalao ungejua vile mi nakutambua ah 
Shika hi Maua kwa penzi la kishua ah 
Si angalao ungejua sina form 
Tufunge ndoa na tuko poa 
Pete uliona kwamba sinayo na siko poa 
Si tufunge ndoa si univishe

[CHORUS]
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 

[VERSE 2] 
Jinsi unanipa upendo umeniweza 
Jinsi unanipa upendo 
Na hela ni kama sinazo na haujanitenga 
Na hela ni kama sinazo, basi 
Kama wajua haya beibe ni mapenzi 
Twende nyumbani tukawaelezee wazazi, 
Kama wajua ni mapenzi twende 
Nyumbani univishe pete pekepeke

[CHORUS]
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 

[BRIDGE]
Mpenzi si univishe pete,
Beibe please si univishe pete
Mpenzi si univishe pete,
Beibe please si univishe pete

[CHORUS]
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 
Petepete pete pete, pekepeke peke peke 

 

Leave a Comment