Anatenda Lyrics
Anatenda Lyrics by GLORIA MULIRO
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Nasema Bwana ayajua
Mawazo anayoniwazia
Ni mawazo ya mema, sio mabaya
Ya kunipa amani, kunipa tumaini
Siku zangu zote ee
Nasema Bwana ayajua
Mawazo anayoniwazia
Ni mawazo ya mema, sio mabaya
Ya kunipa amani, kunipa tumaini
Siku zangu zote ee
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Mengine nishashuhudia
Mengine bado nangojea wakati wa Mungu
Mengine nishashuhudia
Mengine bado nangojea wakati wa Mungu
Aliyatenda jana, anatenda leo
Atatenda kesho najua
Aliyefanya njia jana, anafanya leo
Atafanya kesho
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Anatenda anatenda
Aliyoniahidi anatenda
Asifiwe bwana, asifiwe
Asifiwe bwana, asifiwe
Asifiwe yee
Asifiwe Bwana anatenda
Asifiwe bwana, asifiwe
Mungu wangu, asifiwe
Mungu mwema
Asifiwe Bwana anatenda
Anatenda, asifiwe
Anatenda, asifiwe
Atatenda
Asifiwe Bwana anatenda
Asifiwe bwana, asifiwe
Eeh, asifiwe
Asifiwe, asifiwe Bwana anatenda
Asifiwe, Asifiwe
Asifiwe bwana, asifiwe
Asifiwe Bwana anatenda
Asifiwe, Asifiwe
Asifiwe bwana, asifiwe
Asifiwe Bwana anatenda
Nimeona wema wake, Yesu wee
Nimeona wema wake Yesu wee
Watch Video
About Anatenda
More GLORIA MULIRO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl