Juu Lyrics
Juu Lyrics by GENIUS JINI X66
Owlooh Loohh
Oloo Looh
Oooohh
Jay Once Again
Jini
Another One
Live is What I see
When I look at you
This Thing I wish
Nobody Separate
I go be your Mbappe
Speed Beck Kimpembe
I go follow you are rule
To make you happy and cool
Unajua mimi sina hela
lla nikiwa na wewe najiona Tajiri
Babe Unajua mimi Sina Helaa
lla nikiwa nawewe najiona Tajiri
Na feel naelea juu juu
Napaa juu juu
Naelea juu juu
Napaa juu juu
Nafeel naelea juu juu
Napaa juu juu
Naelea juu juu
Napaa juu
Ohoooo Baby
Kuna Kihali Fulani
Mwenzako Nahisii
Kama kibaridi
Mwenzako nahisi
Kama kikizidi Pooza na kiss
Haya Babe iih
Hizo nyama nyama zako
Ongeza na chips
Kiuno lain bila ya Gilisi
Wakitusumbua tuite Police
Maana Hawapendi
Unajua mimi sina hela
lla nikiwa nawewe najiona Tajiri
Babe Unajua mimi Sina Helaa
lla nikiwa nawewe najiona Tajiri
Na feel naelea juu juu
Napaa juu juu
Naelea juu juu
Napaa juu
Na feel naelea juu juu
Napaa juu juu
Naelea juu juu
Napaa juu
Yes I call you babe babe
Honey honey
Oooh sweet my babe boo
Nakwita babe babe
Oooh honey honey
Oooh sweet my babe boo
Watch Video
About Juu
More GENIUS JINI X66 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl