YOUNG LUNYA Freestyle Session 3 cover image

Paroles de Freestyle Session 3

Paroles de Freestyle Session 3 Par YOUNG LUNYA


Oh my! Naifanya hii
Kama sitaifanya tena kudadeki
Bobo am taking Bongo rap to the next levels
Mwambieni yule mtoto moto huu, haingii kamwe
Kitonga atacho kipata ni wifi, duu
Kwa anacho kifanya round hii hapati hata sare
Maana nimeanza na Plan B

Young King, flow zao za kitozi zimekataliwa
Ni uchafu kama kinga zilizovaliwa
Mi nataka kile kiti kilichokaliwa
Sipendi mi kuchana sana babu ndo nilipozaliwa
Sikia sasa mi nazisaka chapaa
Nikijikita kampuni nabonga na Lamata 
Najichorea mistari kisha naingia chaka
Nikirudi nakamata navyovipenda DJ choka Sanchoka

Sina muda wa kubishana na vijana fake
Ukiniona na tajiri ah basi napusha na benki
Mimi na wanangu kama Samata na genki 
Huwezi kuleta stori za kimama mama hapa nitapoint
OMG ipo, that's my dream team
Future ya rap Bongo tulishahitimu
Matozi bwana kujikuta mwenda wazimu
Ndio unaninadai ila unanikuta nawai gym

Nishaikuwa nalala studio naombea pakuche
Sa hivi hamna shida ghetto mashuka meupe
Mama zako wananiganda ganda kama kupe
Baada ya hii session naenda zangu Zenji kula pupwe
Here I come, marapper wabovu nawafyeka
Ukiona babe kali hapo na mimi nimejieka 
Ushauri staki ujana nitawacha nikizeeka
Na wala kisha nafungulia sound home theatre

Mjomba comedown, relax, sitback 
Mi shabiki wa damu wa msimbazi simba
Kwa kukinukisha nimelikalisha kimba
Panya paka kafika cha kukushauri chimba

Utafika mpaka ulipo, fuata pesa zilipo
Piga pini pande zote Halleluyah walipo
Brand kubwa filipo, sitishwi na vitisho
Vina vimepangiliwa mwanzo kati na mwisho

Nafanya yangu I got no fucks to give
Fighting for my life to live
Nipo studio we ona mwito
Waiter leta I got to leave
Shida yako we ni wa kitambo, umechakata tizi
Truth hurts --

Ngoma back to back, he is back 2Pac
He is back to pack, throwing party to party
Keep it black in black, kula skip on black
Kuropoka na kuleta blah blah hatutaki

Ndio maana nazidi kufanya, nazidi kusanya
Nazidi kuhanya, nazidi kuwakanya
Mna njia za panya na idea za chanya
Mnaibia nikifanya, iga na hii

Nikipanda chata unataka nifall
Wanataka niwe kama before
Hawataki nikisanua jo
Mi nataka nizikamue flow
Siachi mpaka wanikwarue roho
Mi sinaga maluwa luwa no
Ki u walahi nimeliagiza doh
Sasa basi the -- no, no no no

No shawty, sikuposti japo it's your birthday
Leo page ina mambo mengi we kuwa mpole
Imma take you off for your birthday
Madada wa mjini bwana usiwape gambe
Utaskia hiyo ngoma yako mbona pambe?
Zangu mi kuwapiga pini, you gonna come bae
Juu ya beat ya Bobo ngoma kaa mbele

Yeah here we go, here we go
Hili dundo madawa ya kulevya, indigo
Si wahuni tunafuata pesa hii ndipo
Haya sasa kama unavyotuona here we go

Here we ball, shpappy kama --
Boy speed like am fast car
Preach preach like am pastor
Am a superstar don't you know mfck'

Bombe usiniombe tukuombee
Na marapper wako mbovu mbovu usini compare
Msinicompare, msijikombee
Nyie maslayqueen mie si danga msinigombee, gombee

Ukishindwa kutunza familia 
Ukirudi utakuta nobody is home
Na wanaojiuza utamuuzia nani
Na pengine utakuta nobody is on

Sasa kwa wale wanaotaka vita 
Tutapigania wapi? No fighting zone
Kwenye crew yangu we unamweza nani?
Somi, con boy, nobody know

We out here
Rooftop 

Ecouter

A Propos de "Freestyle Session 3"

Album : Freestyle Session 3 (Single)
Année de Sortie : 2019
Copyright : (c) 2019 Roof Top Gang.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 05 , 2019

Plus de Lyrics de YOUNG LUNYA

YOUNG LUNYA
YOUNG LUNYA
YOUNG LUNYA
YOUNG LUNYA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl