Paroles de Donyo
Paroles de Donyo Par YAYAH PRINCE
Shikwa midadi kwa sauti ya kinanda
Namba nane yake figa, kaniweka kwa kiganja
Ananipa vya uvunguni na sio daladala
Nyama wazi wazi, kitanda chetu ndo kiwanja
Mtoto kwenye bedi capuccino
Acha nikubebe kwa mikono
Sina wasiwasi uwo uwoo
Chini nikutekenye kwa jino
Zima kibatari
Dada wewe tuanze safari(Dada wee)
Maharuani, yashanipanda kichwani(Honey wewe)
Baby, baby move for me sio kimoja chali(Baby wewe)
Maharuani, yaani wewe
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Nipapasage mwili mzima
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Dera funga funo
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Nishikike panaposhikika
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Wewe ndo roho yangu
Mtoto stargirl,
Shakushaku starboy nalichezaga
Shepu kigoda kigoda
Kiuno kama feni, ukinyongaga
Mashallah huyu mtoto mzuri yaani
Hewalla nimeokota dodo kitandani
Tena watalala, kiuno na dera
Mtoto kisura, yo yo yo
Zipu hazifungiki kuonaga wewe
Yo yo yo, yo yo yo
Aaah aah eeeh
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Nipapasage mwili mzima
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Dera funga funo
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Nishikike panaposhikika
Nidonyo donyo dada nikudonyoe
Wewe ndo roho yangu
Zipu hazifungiki kuonaga wewe
Yo yo yo, yo yo yo
Aaah aah eeeh
Ecouter
A Propos de "Donyo"
Plus de Lyrics de YAYAH PRINCE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl