
Paroles de Usinirekodi
Paroles de Usinirekodi Par WHOZU
Usinirekodi, acha bana usinirekodi
Nakuomba usinirekodi, ngoja bana usinirekodi
Video yako ilovuja umeonekana
Umejishoot mwenyewe (Umejishoot mwenyewe)
Asa iweje unakataa kata
Inaonekana hapa ni wewe (Kabisa ni wewe)
Ex wangu naye ananitisha
Video zangu eti atavujisha
Nina movie ye anayo picha
Subutu nitakuzalilisha
Jamani uzuri wangu nabebwa na picha eeh
Usinirekodi bila kueka filter
Nitajifanya kama nimekasirika eh
Nikigeuka unastopisha
Ngoja basi hebu ngoja
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Mwenzako nimekaa vibaya
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Ngoja basi nawe ngoja
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Video itatoka mbaya
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Usinirekodi, acha bana usinirekodi
Nakuomba usinirekodi, ngoja bana usinirekodi
Ah unapata raha gani sasa
Unavyonirekodi ili ukaonyeshe tu wenzako
Unaona raha gani brother
Video ikivuja alafu ikaonekana sura yako
Eti utaskia simwonyeshi mtu
Oh baby, tukimaliza tunafuta tu
Hizi clip ni za tu na wewe
Oh baby, zitabaki kwenye simu yangu tu
Huyo huyo kesho Snapchat unamkuta anajipostisha
Sema sio mzuri, anajisexisisha
Usiombe ukapiga naye picha
Utaskia usiposti kabla sijakagua picha
Jamani uzuri wangu nabebwa na picha eeh
Usinirekodi bila kueka filter
Nitajifanya kama nimekasirika eh
Nikigeuka unastopisha
Ngoja basi hebu ngoja
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Mwenzako nimekaa vibaya
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Ngoja basi nawe ngoja
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Video itatoka mbaya
Usinirekodi, usinirekodi ngoja kwanza
Usinirekodi
Acha bana usinirekodi
Nakuomba usinirekodi
Ngoja bana usinirekodi
Ecouter
A Propos de "Usinirekodi"
Plus de Lyrics de WHOZU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl