Paroles de Roboti
Paroles de Roboti Par WHOZU
Toto body body, chuchu antenna
Mbele Fordi, nyuma Container
Ha affordi forgi, mapenzi sinema
Eeh eeh eeh, mapenzi sinema
Kisu kilikuwa butu nikakinoa makali
aAaah nikakinoa makali
Msisubutu kumpendea machali
Aaah kumpendea machali
Mami love, mami love
Nikikumisi na pweta pweta
Mami love, mami love
Basi leo usichane mkeka
Jamani mwenzenu nakoma kisa (bacheo viwalawani)
Nilimnyima usiku wa jana amenizidia leo
Eti kanuna ka roboti
Kanuna ka roboti(wewe mwaache)
Kanuna ka roboti(kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti...
Haka ka shawty kiboko eeh
Kana mapozi fulani ya photo eeh
Kapandwa mori sio ndoto eeh
Nitakalisha ndizi kibosho
Akigeuka napaua(chee)
Akijilaza wima napaua(chee)
Kwenye bilingi napaua
Yaani nakaba kaba vinoma(yeah heh)
Mami love, mami love
Nikikumissi na pweta pweta
Mami love, mami love
Basi leo usichane mkeka
Jamani mwenzenu nakoma kisa (bacheo viwalawani)
Nilimnyima usiku wa jana amenizidia leo
Eti kanuna ka roboti
Kanuna ka roboti(wewe mwaache)
Kanuna ka roboti(kaacha hapa mboga)
Kanuna ka roboti...
Imenitoka iyo, imenitokaa...
Imenitoka iyo, imenitokaa...
Na nakosea sijafanya makosa
Basi cheza fair ukinuna hupendezi
Mwenye beatii...
Ni Bwana Whozu
Akiwa na Boy young
Kanuna ka roboti
Kanuna ka roboti
Ecouter
A Propos de "Roboti"
Plus de Lyrics de WHOZU
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl