Paroles de War Zone
Paroles de War Zone Par WHOLLA
4Ward 4Ward
Nini unajua ju ya Westside killer
Rifle tings me hungam kila dealer
Me hua mrealer wao husema go realer
Yoh Wholla!!
(Yeah Drisa)
Hey Rifle inasing head inadrop
Shang me hubeba huaga heavy na tall
Kila msee humesea si hulive by the sword
So unangam siezi toka mtiecha bila glock yeah
War Zone! War Zone!
Boy get lift hadi kwenye Ozone
Yeah War Zone, war Zone
30 minutes later wanakula cotton
So huezi npata kwenye battle field bila matic
Me huaga nawakimbiza wengu hufeel kama magic
Kila nkichekesha huezi cheka si funny
Hi mbekeke vle inatema itabaki umespeed na kuvanish
Hey nza kimovie
Starts ni za ki movie
Ngeus si huteka nkama Angelina Jolly
Kila boy toka block huaga unruly
Si humaliza shughli
Hey boy dead on the spot
By the glock
Gunshots zina bark bark round the clock
Try dis west and make your life short
Shutter burst up your head like a pot
Tum!! Tum!!
Hey Rifle inasing head inadrop
Shang me hubeba huaga heavy na tall
Kila msee humesea si hulive by the sword s
So unangam siezi toka mtiecha bila glock yeah
War Zone! War Zone!
Boy get lift hadi kwenye Ozone
Yeah War Zone, war Zone
30 minutes later wanakula cotton
Hey Nina kirifle na ma morio ni mahullygan
Niko mahustle na usiulize ni mashughli gan
Uku West tunaishi life ni ka mataliban
Zangu hata hazitoki Sudan zihutoka Pakistan
Nina kimbeko sijakiseti kwenye Safety
Waga sikiseti Side ya lefty
Decko Decko kanvutia ako na marder plan morio
Si alidunda kwenye fire akitry pita Pan
4Ward ah di baddest crew
Fika 4W gotea my Crew
4Ward ah di baddest crew
Ndechu me hubeba haitambui we ni who
Hey Rifle inasing head inadrop
Shang me hubeba huaga heavy na tall
Kila msee humesea si hulive by the sword
So unangam siezi toka mtiecha bila glock yeah
War Zone! War Zone!
Boy get lift hadi kwenye Ozone
Yeah War Zone, war Zone
30 minutes later wanakula cotton
Ecouter
A Propos de "War Zone "
Plus de Lyrics de WHOLLA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl