Paroles de Instagram
Paroles de Instagram Par WANYABI
Ifike mahali niachwe
We ulisikia wapi?
Don't leave me, Don't leave me
We nani kakwambia uoe
Utajua mwenyewe
Insta kamili, Insta kamili
Insta kamili, Insta kamili
Na zama zangu ndeche (Instagram ee)
Nazikuta mbichi mbichi (Instagram ee)
Kalolewa mwenye kiti (Instagram ee)
Wajumbe watoa basi (Instagram ee)
Kuna dada anaitwa Shishi (Instagram ee)
Kwa iyo fundi wa mapishi (Instagram ee)
Ni mbabe (Instagram ee)
Ila amepigwa na Luchembe (Instagram ee)
Na kuna boy wanamuita Idriss (Instagram ee)
Kamchora rais (Instagram ee)
Wakamueka rumande (Instagram ee)
Alipatwa akaona adange (Instagram ee)
Ati Nandi naye ana ghorofa (Instagram ee)
Instagram kuna ghorofa (Instagram ee)
Bilnass sijamwelewa (Instagram ee)
Na sare hivi kaowa kaolewa (Instagram ee)
Tumbe kamrudia D (Instagram ee)
Huwezi ukapasua simu (Instagram ee)
Wolper alivishwa pete (Instagram ee)
Hata tuliona humu humu (Instagram ee)
Nahisi za chili chili (Instagram ee)
Hii ni kwa brother yangu mimi (Instagram ee)
Jina lake Stamina (Instagram ee)
Kuja kabebwa hakuamini (Instagram ee)
Molinga kahamia simba (Instagram ee)
Mmmh hii uongo (Instagram ee)
Joji naye yuko Netflix (Instagram ee)
Anamaliza bundle (Instagram ee)
Na askofu alitangaza dear (Instagram ee)
Kachoka kuongoza kondoo (Instagram ee)
Hajawajua wa Tanzania (Instagram ee)
Walimpiga za uso (Instagram ee)
Dokimani naye ni mjane (Instagram ee)
Queen Darleen naye ana mimba (Instagram ee)
Zuchu naye anaishi pomoni (Instagram ee)
Nishampiga mtu kuna mchele (Instagram ee)
Mjomba katangaza ndoa huko (Instagram ee)
Weusi Kikosi Kazi (Instagram ee)
Chidi na Killy kimya kimya (Instagram ee)
Naskia wako Konde Boy (Instagram ee)
Watu wanaficha penseli (Instagram ee)
Wanyabi watu hatari (Instagram ee)
Mnyago kavamisha mbenga (Instagram ee)
Ukinitusi unakusuta (Instagram ee)
Karudi kwa kajala (Instagram ee)
Aslay karudi Mbaghala (Instagram ee)
Huh Wema kawa mwembamba (Instagram ee)
Dada magendo fundi wa kuchamba (Instagram ee)
Instagram eeh, Instagram eeh
Instagram eeh, Instagram eeh
Ecouter
A Propos de "Instagram "
Plus de Lyrics de WANYABI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl