WAKADINALI Peddle Bike  cover image

Paroles de Peddle Bike

Paroles de Peddle Bike Par WAKADINALI


Sha sha, chii, ushai ushai ushai
Ushai sell gunga ukipeddle bike
Na kabag kwa mgongo uki..
MC Sharon what?

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo uki peddle bike
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo uki peddle bike
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Yoh pull up ndani ya colours za chui chui
Mans as if Mike Sonko Mbuvi, Mama Lucy
Still ndani ya street we are do it
Tuko ON kama Steve Mbogo juzi huko Dusit

Mi sichezi hunijui 
Napendwa na mashabik, God na tu groupies
It's major mad tracks nikiweka chorus
Acha niku-cancel vizuri bila matusi

Oops ka ulijifanya makmende
Ju ulifinywa makende, shukuru bado uko
Ati wanataka Rong Rende 
Moyo uende mahali roho iko

Yoh! Mistari zangu zangu zina chumvi
2016 nilienda uziwa na Royco
Mistari zangu zina chumvi
Utanipata niko kwa jiko

Yeah come rain come sunshine
Kila kona ndani ya Nai sai sai tuna peddle bike
Ju miradi ni mob kidesign
Paper chasing on the grind one time niki peddle bike

Nacheki tu mambleina wakiwa ma informer
Nawaona 18 niki peddle bike
Mitaani nakanyaga na ma Jays ndio swag
Kwenye feet pale down niki peddle bike

Storyteller on the mic is 
Domani pia na Scar hii ndio domain ya ku-ignite this
Anticipated all along like a dime biz
Ingawa kuna wale itabidi wa despise this

Been a long time coming like a storm
Decibella in see mama Rocks spitting fire
Check the cause in my mouth please
From way back like Genesis imeniweza mouthpiece

On the hustle on the booth bila brake
Jah guide besiege, mixtapes for sale 
Is a business thing up stake
Creme creme de la creme in bed

Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Night game ni ku peddle bike
Uptown downtown niki peddle bike
For stars ukiwai we skuma vibe

Si hufanyaga madhararau 
Ah na ikibidi matha zao
Nikifika unatii nigga bow 
Nishafanyaga hizi streets madhabahu

Na sichomi picha niko fresh angalau
Ju niko na watoto wana beef baba zao
Niko na clique inarisk kubonga na mabeast
Lakini bado tunabishana nao

Tuna peddle bike
Nimefura mazgwembe ju ya ku peddle bike
Baby babe usinipende mi napenda ngwai
Msupa wako chunga ju rende inaweza enda naye

Tuma location tunakuja ka tumeenda live
Nakula ya kesho leo sababu mi hupenda life
Mi huwaga sinego nikifika nikifika huwaga mengo
Kunishinda huwaga mtego 
Kwa sababu mi hupenda knife hahaha

Vurugu ndio akome, vuvuvu ju ya kome
Na kahater ni katoto ka colle
Nikiwa msoto mfuko wako nkut*mbee
Nani ndio mzito cheki comments
Mi sibongangi na ma opponents
Labda niwakang'e niwapone
Alafu matha yako aambiwe pole

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo uki peddle bike
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Peddle bike, peddle bike, peddle bike, peddle bike 
Peddle bike, peddle bike, peddle bike
Ushai sell gunga uki peddle bike
Na kabag kwa mgongo uki peddle bike
Nyuma opposition wanakusora 
Alafu down chini umedunga Nikes

Ecouter

A Propos de "Peddle Bike "

Album : Peddle Bike (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 02 , 2021

Plus de Lyrics de WAKADINALI

WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI
WAKADINALI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl