Paroles de Secret Lover
Paroles de Secret Lover Par VIVIAN
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Niite jicho nyanya baby eeh
(Mavo on the Beat)
Kuna vile mi hukudai
Sijui kama nitakuwahi wee
Sijui utasemaje
Naogopa utanilenga
Kuna vile mi hukupenda
Mi hukutaka ee
Kuna vile mi hukumezea mate
Nikiwish nikupate
Am your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Call me your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
[Mejja]
Nilikuona ukisha vyombo
Kwanza ka umejifunga leso
Huwa inachora figa yako
Mpaka nikatamani niwe chali yako
Nilikuona ukikula chips mwitu
Nikajua we ni mtu wa watu
Anajua mi ni rafiki
Lakini chini ya maji mi hukuwa nimemnoki
Ye hunipatia shida ya chali yake
Nampea advice nikiwish waachane
Haha we huumiza moyo wangu
Ukiambia beste zako goteeni beste yangu
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Call me your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
[Madtraxx]
Hello hello hey beautiful
I think there is something that you should know
I know your bro he is my boy sana
Na nikimwambia najua tutakosana
Pale shughli mara ya kwanza nilikuonaga
Bro aliniambia Maddy usicross hapa
Mi huwanga bad boy nikiwa na crew
Lakini mi ni msofti when it comes to you
Mama fua nilimpea chocolate na cuddies
I hope ulizipata ukishangaa ni nani
Next time ukipitia baby cheza chini
Nitakohoa mara mbili ndo ujue ni mimi
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Niite jicho nyanya baby
Vile mi hukutazama baby
Call me your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
Am your secret lover
Am your secret crusher
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Vivian ana crush na wewe
Ecouter
A Propos de "Secret Lover"
Plus de Lyrics de VIVIAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl