ALPHA QUEEN  Ndovu ni Kuu (Remix) cover image

Paroles de Ndovu ni Kuu (Remix)

Paroles de Ndovu ni Kuu (Remix) Par ALPHA QUEEN


Vile inabam bam madem wana ubaya
Niko na tam tam maboy wanaona fire
Kosea uniite fan girl hauskii hizo ni hekaya
Brayo na Kevo hawawezi ni acquire

Tulikuwa na mandela shule moja ndani ya choir
Siku hizi vile anahema round moja ananigwaya
Nina ringa sana flat tummy sina tire
Niko na kila kitu kitu sinanga ni haya

Chali yangu akiitwa K.U nitakataa
Hakunanga machali K.U nimekataa
Unapata chali first year ni introduction
Baada ya wiki mbili anadai reproduction

Alpha ni queen itabidi jo ni win
Washa ki green, yes me 
Alpha ni queen itabidi jo ni win
Washa ki green, yes me, me

Ecouter

A Propos de "Ndovu ni Kuu (Remix)"

Album : Ndovu ni Kuu (Remix) (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jul 06 , 2021

Plus de Lyrics de ALPHA QUEEN

ALPHA QUEEN
ALPHA QUEEN

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl