Paroles de Okay
Paroles de Okay Par VINTAGE CLAN
"Ladies and gentlemen put your hands
Together for the Vintage Clan"
(Wewe, wana Vintage Clan)
(Urban Round Beats!!)
Okay! Kama siezi buy gari nitabuy mzinga
Bora zote zinatubeba (Okay)
Ka dem anaitwa Karen na tabia ni za Kayole
Bro mwambie kwenda (Okay)
Haka kadem buda ni ka suupuu
Kanapenda supu na ni ka pum pum (Okay)
Vintage msiharakishe Harry Thuku
Ni zingri na ni zuzu na akinyamba ye hujishuku
Nilikasuka kwanza nikiwa saloon
Nilipenda thutha kama Nelly The Goon, aii
Washapulizia moshi kama baloon
Sai kanadai ndizi unaezadhani baboon
Maziwa huwaga white ama huwaga maroon
Niliskia Juacali alienda kwa moon
Nilishani Simple Boy huwaga cartoon
Nilimpata anatoa lunch ma-afternoon
Kama siezi buy gari nitabuy mzinga
Bora zote zinatubeba (Okay)
Ka dem anaitwa Karen na tabia ni za Kayole
Bro mwambie kwenda (Okay)
Haka kadem buda ni ka suupuu
Kanapenda supu na ni ka pum pum (Okay)
Vintage nisiharakishe Harry Thuku
Ni zingri na ni zuzu na akinyamba ye hujishuku
Shshhhh.....
Mi hutusi buda yako niko ill mentally
Mi hushika haga periodically
Ka Moses kata maji Biblically
Ye hunyamba ka deng'a za military
Akiona pen chora saba physically
Niliskia wines and spirit ni za spiritually
Team siwezi bet-ia ni Arsenali
Ka unadai vita bro kam individually
Okay! Kama siezi buy gari nitabuy mzinga
Bora zote zinatubeba (Okay)
Ka dem anaitwa Karen na tabia ni za Kayole
Bro mwambie kwenda (Okay)
Haka kadem buda ni ka suupuu
Kanapenda supu na ni ka pum pum (Okay)
Vintage msiharakishe Harry Thuku
Ni zingri na ni zuzu na akinyamba ye hujishuku
Ngeus aligonga ukinyonga anaconda
Kuna dunda ukienda lazma roho itadunda
Doh zimesunda hawker ni wa muda
Naskia mbogi ya Kariokor ilihamia Runda
Ati diss jakabuda afufue kilipunda
Dem yako ndio atalia vitu akikutwa
Roll na mabundas form ni kibuda
Heri utamu ya chakula ya Huddah ni ya muda
Mi ni Hitler, dictator
Nyonga hio haga angle theta
Chora saba mamacita
Doh zangu zihunichuna kama Speaker
Few centimetre nimemwaga metre
Acha nikaelembe backseatt zii
Kameiva ka maembe chap chap
Basi nakameza kama tembe
Okay! Kama siezi buy gari nitabuy mzinga
Bora zote zinatubeba (Okay)
Ka dem anaitwa Karen na tabia ni za Kayole
Bro mwambie kwenda (Okay)
Haka kadem buda ni ka suupuu
Kanapenda supu na ni ka pum pum (Okay)
Vintage msiharakishe Harry Thuku
Ni zingri na ni zuzu na akinyamba ye hujishuku
Ecouter
A Propos de "Okay"
Plus de Lyrics de VINTAGE CLAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl