
Paroles de I Gat U
...
Paroles de I Gat U Par VANILLAH
Najua mapenzi ni nini bébé
Mapenzi ni kitu Ambacho
Kinaweza kukupa furaha
Kinaweza kukupa uzuni
Najua mapenzi ni nini bébé
Mapenzi ni vile ambavyo
Unavyoweza kunipa furaha
Mwenzako siwezi malumbano
Ata kama niko uigereza (Fungasafari njooo)
Ni wewe pekee nto unanipendeza
Baby no matter love
Ata kama niko magereza (Fungasafari njooo)
Ni wewe pekee nto unanipendeza
Cause I gat you my love Oh yeah
Cause i got you
Cause i got you love
Cause i got you
Cause i got you love
Nakabiriwa na raha ukiniguza hapa (baby unajua ooh)
Natabiriwa ukija ukiniacha kapa we nto unajuaa aah
Mazuri yako ni mengi kama nitapost picha (no caption)
Wakisema kwako napita na we Kwangu unapita give them no reaction
Mapenzi kweli ni vita nami nimebahatisha imani ndani yakee eh
Nikisema namaanisha Kafunga madirisha ya tama zakee my love
Ata kama niko uigereza (Fungasafari njooo)
Ni wewe pekee nto unanipendeza
Baby no matter love
Ata kama niko magereza (Fungasafari njooo)
Ni wewe pekee nto unanipendeza
Cause I gat you my love Oh yeah
Cause i got you
Cause i got you love
Cause i got you
Cause i got you love
Ata kama niko magereza (Fungasafari njooo)
Ni wewe pekee nto unanipendeza
Cause I gat you my love
Ecouter
A Propos de "I Gat U"
Plus de Lyrics de VANILLAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl