Paroles de Upendo wa Yesu
Paroles de Upendo wa Yesu Par UPENDO NKONE
Eh tunamsifu Mungu
Anatulinda lila siku
Upendo wake umetuzunguka siku zote
Halleluyah
Huku na huku eeh kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Kila ninapoimba kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Niwapo nimelala kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Na ninapo tembea tembea kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa nakula kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Eh niwapo safarini kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa masomoni kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za Mungu
Na kila tunalolifanya
Ambalo ni kwa ajili ya utukufu wa jina lake
Tumezungukwa na upendo wake halleluyah
Huku na huku na kule na hapo kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa nyumbani kwangu kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa kazini kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku na huku kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa hospitalini kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku he kama mawimbi
Upendo wa Yesu wanizunguka (Mawimbi mawimbi)
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Ecouter
A Propos de "Upendo wa Yesu"
Plus de Lyrics de UPENDO NKONE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl