Paroles de Kifo
Paroles de Kifo Par TOXIC
Nilishajua nikifa nitaona sana masnitch
Baba yangu ni swala tano ila nje kumbe nje ana binti
Rafiki yangu na dem wangu wajaa laana wote wanancheati
Mkeka nilobetigi kabla sijafa naona umetiki
Natamani ningerudi ila mwili hautamaniki
Au kama vipi naomba hata nikatoe laumu mama na ziki
Niliacha mdogo wa kike nikahisi mama atamkomboa
Kumbe niliacha una mimba leo umekwenda kuitoa
Kinachoniuma sio poa alompa mimba
Muuza sumu ya panya na dawa ya madoa
Kumbe ndoa it means alifanya kwa akili yake
Unajiuliza ama ali-, ama ni ziki
Ama ni tamaa kampitia ibilisi
Vituko vyangu na utani na ucheshi
Vinafanya mtaani kwetu watu wengi wakikumbuka wanimiss
Ata Ex wangu kaipost ile picha yangu mbaya kuliko zote
Ati kuniwish mi ni rest in peace
Ni kama hukumu imekamilika
Shetani na jeshi lake, Mungu naamini
Majibu yake maumivu, mmmh
Yawezekana leo nikawa superstar na attention
Kesho nikala madawa, chizi kwa meditation
Hello, my Lord Hello ooh!
Na siku ya kufa imewekwa fumbo ambalo huwezi ukafumbua
Ndo maana ukifumba macho huwezi tena ukafumbua
Utapambwa kwa mazuri japo baya wanajua
Na wema wako unazidi ubaya wako unapungua
Simu yangu inapigwa sana siwezi ipokea
Na ni wale wasiojua kitu kilonitokea
Yule jamaa anayenidai ananifokea
'Missed call na message zote why you don't care?
Na akijua atakwenda kwenye msiba
Nako hakuna hata wa kumlipa
Hali ngumu atawachanganyia stress nyingine
Kuniwaza mimi deni lake sijui atae jivika hili jukumu
Labda angejivika mjomba ila nae anamsomesha binamu
Na yuko chuo hana mkopo wala boom
Oh daa! Sina tena cha kusema zaidi ya kuwaaga goodbye
Muda wangu umeniishia kuishi huku
Ni kama hukumu imekamilika
Shetani na jeshi lake, Mungu naamini
Majibu yake maumivu, mmmh
Yawezekana leo nikawa superstar na attention
Kesho nikala madawa, chizi kwa meditation
Hello, my Lord Hello ooh!
Ecouter
A Propos de "Kifo "
Plus de Lyrics de TOXIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl