Paroles de Cheza
Paroles de Cheza Par THEONLYDELO
[CHORUS 1]
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
[VERSE 1]
Ni yule kijana mmoja gaidi Sana sana tena zaidi
Mi nakazana kisha miti
Na nikifika bei naskia fiti
Naipigia kwenye bed kisha juu ya kiti
Shhh ndani ya kitu shhh juu ya titi
Change position ni kama unapiga deki
Na ukule hiyo haga ni ka unakula keki
Na ukuwe rada jo juu unaeza bleki
Kiki Kiki do you Love me?
Apantambua hizo jo mi si mlami
Hotter dan de sun fika basi jo Miami
Ubaya na majuu huwezi pata jo majani
Kunitoa base ni kunipa mtihani
Tuende mtaa babe nikupe mti hunnie
Nakushika koo unaeza dhani mi sijali
[CHORUS 2]
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
[VERSE 2]
Wakinicheki wanatii wanajuwa mi ni ordinare
Dem yako nyati na akingoa ni vibare
Odi odi Kawangware vijana sugu namba nane
Wakisha kitu Brejin leta nare
Na madem wainame
Injection ya sare
Funga bao kama nane
Na wapige nduru nimewageuza manugu
Na tukimunju wanageuka ma bubu
Amepiga magoti unaeza dhani anaabudu
Anadai nimwage ndani njugu njugu
Ni kijana wa kambi flani Jamhuri
Si wa leo si wa jana wala jo si wa juzi
[CHORUS 3]
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
[VERSE 3]
Songa na idhaa Bussa J na Mkala
Wakuu family hao sasa ndio wakanda
Shuka na madam mjulubeng ukiwa
Zimenishika zimenishika manze jo nina dawa
Si ati juu nina bars unibebe mi mlevi
Mi rada na ma shash macho nyanya kuliko pedi
Napendanga ile safi nikipiga nina medi
Na story za wasafi tulirudisha Tizedi
Before this fame nimesumbuliwa na ma mbanga
Na kama si fame story ingekuwa ya madaga
I find this lame kuhudumiwa na mganga
Machungu so lime bora Jah ananipendanga
Shout to my Mama juwa milele Nakupenda
Shout out to the months zile zote umenibeba
Shout out to the ladies wale wote nimekemba
Shout to my wifey she's the last body bender.
[CHORUS 4]
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana
Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya
Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana
Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada.
Ecouter
A Propos de "Cheza "
Plus de Lyrics de THEONLYDELO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl