Paroles de Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili)
Paroles de Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) Par TANZANIA
[Stanza 1]
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
[Chorus]
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika
[Stanza 2]
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake
[Chorus]
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
Ecouter
A Propos de "Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili)"
Album : Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) (Single)
Année de Sortie : 0
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Aug 03 , 2020
Plus de Lyrics de TANZANIA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl