Paroles de Napata Shida
Paroles de Napata Shida Par GOLD BOY
Mbali umeka mi nateseka
My baby hujui hilo
Mi nakesha bar kila kukicha
Nipate hata usingizi kama wa zamani
Oooh nalala, huku napata shida
Oooh nalala, huku mi nateseka mama
Oooh nalala, ku DM mambo shida
Oooh nalala, paka wananifumbua
Si unajua milijali napata taabu
Oooooh oooh
Na vile baby uko mbali unanipa adhabu
Oooooh oooh
Yote nimekubali wajua sababu, oooh
Tulikotoka ni mbali darling
Kukuacha siwezi
Yote nimekubali kweli
Kwa mdudu mpenzi
Daktari wangu fanya uje
Uniponye
Maana kamoyo kangu kala kaguxhe
Nikuone baby
Oooh nalala, huku napata shida
Oooh nalala, huku mi nateseka mama
Oooh nalala, ku DM mambo shida
Oooh nalala, paka wananifumbua
Ecouter
A Propos de "Napata Shida"
Plus de Lyrics de GOLD BOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl