STELLA MWANGI Biashara cover image

Paroles de Biashara

Paroles de Biashara Par STELLA MWANGI


:
Yes, You Have To Flip It, 2013 Twende Biashara Boss...
Mi Na Biashara, Flow Sintara Flow So Tight Ask Chris Kantara,
Young Impala, ALike Prada, Na Kama Huwezi Shikanisha Basi We Ni Falaaaa. ah, Basi We Ni Fala,
Mi Naenda Pale Kila Kitu Dollar Dollar
President Moi, Kibaki Wana Holla, Naonyesha Kidole, Pole, Ah,
Tumbo Tumbo Kubwa Kama Rick Ross, Pesa Zetu Mnafanyia What
Kazi Kwa Vijana Pesa Kwa Maboss, Wacha Kuwa Floss Aii?, Ati Wasanii Wataget Ganji 2030, Nitakuwa 54 hede Inaenda 30
Mbere Ta Muhuko Wa Shati Ya Khaki Cheque Karatasi, Kari Kii? Yah, Kari Kii
Mi Ni STL, The Bigger The Better, I Emcee On The Mic Come Chester
Hii Biashara Ni Kaa M-Pesa, We Send, Tuta Receive, Na Ka Hu Send, Sikuskii
Biashara Ni Biashara
Onginyona Hau We Nie Ndigehara 
Biashara Ni Biashara 
Onginyona Hau We Nie Ndigehara
2(Khaligraph):
Yo, Biashara Niko Busy, Na Mziki Ndio Waligrizi
Na Flow ingine Maji Maji Utadhani Gidi Gidi,
In Other Words Niko Tei Na Jaba Ju Niliskia Pia Kukula Mei Ni Swaga
From The Business Land, Nairobi To Be Specific
Mi Huget Proposal, Naacha Na Illicit
River Road Baby, Thats Where You Gonna Find Me, I Be Gettin My Money Fast, Calling People Hadharani,
Niko Na M-Pesa, Co-Operative Niko Na Equity, Pesa Ni Nyingi Nimeivisha So Mi Nina Publicity,
Paparazzi Piga Mapicha Then Tuzione BBC, Nashika Ma Mita, Biz Imejiba Juu Nimesign Na DTB
Biashara Baby What it Do Miss Stella, I'm The Man With The Power So I Make You Feel Like Cinderella
And I'm Makin It Shower So Hope You Got Your Umbrella, Always Biashara Baby Stella Go Ahead Tell Em
Niko Na STL Si unajua Gap Huwa Ni Kali Mi Hupenda Ku Chew Gum Unaeza Nipata Hurli
Asalaam Aleikum, Waleikum Salaam, Mi Hupenda M-Pesa Pesa Pap Na M- Shwari
Hustler Ambaye Hu Peel Doe Kama Ndizi Mi Hu Pick & Peel Si Huyu Boy Ni Mjuicy,
Easy Flow Chizi Kama Matiba, Na Iko On Point Kaa Abdouba Dida
Biashara Leta Pesa Weka Doe Kwenye Mkeka, Mi Naleta Heka Heka, Flow N

Ecouter

A Propos de "Biashara"

Album : Biashara (Single)
Année de Sortie : 2016
Copyright : ©2016
Ajouté par : Trendy Sushi
Published : Feb 20 , 2020

Plus de Lyrics de STELLA MWANGI

STELLA MWANGI
STELLA MWANGI
STELLA MWANGI
STELLA MWANGI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl