SSARU Cheki cover image

Paroles de Cheki

Paroles de Cheki Par SSARU


Cheki venye mi natafta ganji
Cheki venye naogopaga bangi
Cheki Mungu ananipakaga rangi
Swaga ni lit na taste ya Manji

Cheki na, cheki na
Cheki naroll na chali mhandi
Cheki naroga utadhani ni Khali
Cheki nazoza Ssaru ni mkali

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Ona naseti nameditati
Pesa ni mingi ziko kwa kibeti
Hizo ndo ziufanya mnaheti
Nyi mmesimama mi nimeketi

Nyi ni machura Ssaru ni keki
Mkninipa kura mi nitakuseti
Ka niko real sitaki ufeki
Niko na beef si cheki namake it

Cheki na, cheki na
Cheki naroll na kina Vigeti
Niko na doh na mi sina vyeti
Niko na ball nilitoa Imenti

Niko na goals za kubuy jeti
Nilibuy keja silipagi renti
We ni wa kando mi ni ndio Mainchic
Unawekwa box za kuku za Kenchic

We ni kazuri na mi niko hectic
Mi niko fulli na hizo testkit
Hii ni kaburi na hii ni deadbeat
Ninaimada natupa kwa septic

Cheki vile mi nakulanga hepi
Mi niko real sijawai feki
Life ni ngumu na yangu ni fancy
Kwenu ni sumu na kwangu ni healthy

Cheki venye mi natafta ganji
Cheki venye naogopaga bangi
Cheki Mungu ananipakaga rangi
Swaga ni lit na taste ya Manji

Cheki na, cheki na
Cheki naroll na chali mhandi
Cheki naroga utadhani ni Khali
Cheki nazoza Ssaru ni mkali

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Nitaretire msiponi hire
Mi nacheki mnagwaya gwaya
Mtarequire tu kunicheza
Ju mi najua hii ngoma ni fire

Sio kinaya jo mi natesa 
Bars ni zile mbaya mbaya
Verse zingine fire fire
Kaeni rada jo ni kubaya

We promoter usinilipe vibaya
Mi ni Ssaru wa manyaru kabaya
Nitapiga shows jo mpaka Ulaya
Utabaki hapo juu ya roho mbaya

We uko chini mi niko higher
Haya kafiri huoni haya
Liar huaminiki we liar
Mi nimejam ju inaniuma mbaya

Nyi msiposema nitaisema na ubaya
Natoanga stress na ngoma za  haya
Nitaleta ingine moja jo ya choir
Ju mi ni ngori mimi ni wire

Mi siko sorry usiniite shori
Venye nacheki unataka ka story
Nimetoka jiji ndo nihepe ngori
Nyi mko tao mi niko kwa pori

Cheki venye mi natafta ganji
Cheki venye naogopaga bangi
Cheki Mungu ananipakaga rangi
Swaga ni lit na taste ya Manji

Cheki na, cheki na
Cheki naroll na chali mhandi
Cheki naroga utadhani ni Khali
Cheki nazoza Ssaru ni mkali

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Mi ndo Ssaru na nimejaa mori
Roho ni ngumu we cheki kwa mboni
Hata kwa rodi sipigangi honi
Mi nakuona ni wee hunioni

Hawa marapper wote nawahshine-ia
Ka ni lesson mi nitakufunza we here
Sipeanangi notice jo mi nakuvamia
Ata usipo open buda mi nitaingia

Tangia zamani mi nakuvunjia
Time ya maganji ndo hii imekam near
Fam ya warazi ndo hii imekam here
Rada ni chafu so buda we fagia

Ndo nimefika na napiga kambi
Kwa matajiri tu wenye kitambi
Hapa sitoki bila hizo ganji
Hapa sitoki bila hizo ganji

Cheki venye mi natafta ganji
Cheki venye naogopaga bangi
Cheki Mungu ananipakaga rangi
Swaga ni lit na taste ya Manji

Cheki na, cheki na
Cheki naroll na chali mhandi
Cheki naroga utadhani ni Khali
Cheki nazoza Ssaru ni mkali

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Cheki na, cheki na
Cheki nadunda nadunda napaa
Cheki mabunda mabunda hapa
Cheki naringa naringa hapa

Ecouter

A Propos de "Cheki"

Album : Cheki (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jun 12 , 2020

Plus de Lyrics de SSARU

SSARU
SSARU
SSARU

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl