Paroles de Kichwa Mbaya
Paroles de Kichwa Mbaya Par SPICE ENTERTAINMENT
Eeh Odi wa Murang'a naskia ulitoka
Ule mthose kipetero ki Yesu manze, ilikuwaje?
Eeh jo man si unajua hadi pedi wake nilimtoka juzi
Si uliniambia ati uliona zake zihunuka makereash
Manze zi hutupa, zi hutupa lakini mi ni nani?
Mi ni kichwa mbaya mi hapana tambua
Enyewe babayoh ni kichwa mbaya
So tunapelekana na rieng ya kichwa mbaya
(Mi kichwa mbaya mi hapana tambua)
Sidai zake ju ye huuza mambichwa mbaya
Na pedi wako naweza mtoa ju ni kichwa mbaya
Uwashe tatu ndo unifungulie za madawa
Ka una kutu chapa kitu ki ukichwa mbaya
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Mbuzi kakuja kichinjio
Zimeshika naskiza tu za Neyo
Na mashasha mavitu ni ban hiyo
Na mthose akuje kikalio
Pia wizi ni talanta
Mi ni dingo nakuwaga na garanta
Na mbogi yangu yote yo hukula tu mabata
Uliza bibi yako mi hukula kwako sapa
Ah pretty gal mi hupenda mateke
Ye ni lele na bado ana nyege
Mi hupiga wanaita manjege
Piga Shiru ambiye Mathenge
Tigana na fagi we Mwangi
Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah
Walisema ujana moshi
Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Mi ni mzazi mi huchill na mathako
Ka ni jaba nashikisha na babako
Eey mbogi yangu hukutoka kimavako
Ka ni shada mi huiva ki-Mavado
Jeshi ya Nanyuki Odi wa Murang'a
Si huiva shada hata na mabang'a
Oya panda tuwabebe ka makanga
Shika ngeus umpeleke na rada
Mi ni rasta bila dredi
Mbogi yangu yote itanyc ukidedi
Niko under water utadhani mi ni pedi
Ngoma zako zote zi huboo kama Jessy
Tigana na fagi we Mwangi
Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah
Walisema ujana moshi
Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Ju hizi pia ni talanta, mi ni kichwa mbaya
Niko kajing na kashada we si kichwa mbaya
Thobo thobo nitariada mi ni kichwa mbaya
Chimba turi bila mpango ki ukichwa mbaya
Shika mthose uitiwe babake
Leta lejo na crate ya mikate
Tuchome shada na alete kakake
Toka mbio na ukule mamake
Inua njuang'a kama bendera
Toka nduaka na uhepe mathena
Dara Njeri na ukule Wanjira
Gonga turi aitiwe Kawira
Robi wood kwenye wood ni kuburn tu makush
Tukifika kasabun hadi umeze kwenye hood
Na mafikra ka baboon tukidrop tu maboom
Tunadrop kama doom tunakill hao magoon
Tigana na fagi we Mwangi
Na hizi Keg tujazilishie hizo Konyagi aah
Walisema ujana moshi
Ndio maana kikiwaka man sijifichangi aah
Ecouter
A Propos de "Kichwa Mbaya"
Plus de Lyrics de SPICE ENTERTAINMENT
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl