Paroles de Nipeni Mda Kwanza
Paroles de Nipeni Mda Kwanza Par SIFAELI MWABUKA
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza ili niseme naye
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza ili niseme naye
Majibu ya dakitari yamesema siwezi kupona
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Majibu kazini kwangu yamesema sina sifa hizo
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Majibu ye dakitari yamesema siwezi kupona
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Majibu kazini kwangu yamesema sina sifa hizo
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Ili aseme kama yeye ameshindwa kunitetea
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Ili aseme kama yeye ameshindwa kuniponya
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Maneno wamesema mengi yale yenye kurarua moyo wako
Hakuna haja ya kujibu kwanza umtafute Yesu
Walio kuumiza ni wengi, huna haja kulipa kisasi
Tafuta muda kwanza umtafute Yesu
Wamesema haiwezekani, wewe tena kupata mwenza mwenzako
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Wamesema haiwezekani, tena wewe kupata mtoto
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Majibu ya dakitari yamesema huwezi kupona
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Maneno ya ndugu zako wamesema hawana imani nawe
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Ili aseme kama yeye ameshindwa kukuponya
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Ili aseme kama yeye ameshindwa kukutetea
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Ukutane naye Yesu, wewe ana kwa ana
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Uweze kusema naye kama yeye ameshindwa kukuponya
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Uweze kusema naye kama yeye ameshindwa kukutetea
Wakupe muda kwanza umtafute Yesu
Ili aseme
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Nipeni mda kwanza nimtafute Yesu
Ecouter
A Propos de "Nipeni Mda Kwanza"
Plus de Lyrics de SIFAELI MWABUKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl