SIFAELI MWABUKA Mungu Yuko Pamoja Nasi cover image

Paroles de Mungu Yuko Pamoja Nasi

Paroles de Mungu Yuko Pamoja Nasi Par SIFAELI MWABUKA


Nisikilize acha nikwambie
Habari za Danieli
Alimwabudu Mungu, Mungu wa mbinguni
Jehovah Rafa

Nisikilize acha nikwambie
Habari za Danieli
Alimwabudu Mungu, Mungu wa mbinguni
Jehovah Nissi

Lakini adui zake waliweka mitego mingi
Ili wamnase Danieli
Wakatunga sheria kwenda kwa mfalme
Ili wamnase Danieli

Lakini adui zake waliweka mitego mingi
Ili wamnase Danieli
Wakatunga sheria kwenda kwa mfalme
Ili wamnase Danieli

Danieli aliwauliza, nimwabudu nani?
Ooh Danieli akawauliza tena nimsifu nani?
Nisipomwabudu Mungu nimwabudu nani? Aliuliza Danieli
Nisipomwomba Mungu wangu, nimwombe nani? Jamani nauliza
Nisipomlilia Mungu wangu nimlilie nani? Aliwauliza adui wake
Nisipomwimbia baba, nimwimbie nani? Jamani niambieni

Danieli alijua yupo Mungu mtetezi wake
Adui zetu wasimame kuleta vitisho
Bado Mungu yuko na sisi
---
--

Ecouter

A Propos de "Mungu Yuko Pamoja Nasi"

Album : Mungu Yuko Pamoja Nasi (Single)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Apr 29 , 2021

Plus de Lyrics de SIFAELI MWABUKA

SIFAELI MWABUKA
SIFAELI MWABUKA
SIFAELI MWABUKA

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl