Paroles de Wamerudiana
Paroles de Wamerudiana Par SARAPHINA
N’tam tazamaje
N’tam tazamaje
N’tam tazamaje
Hayaishi ooh
Mawazo hayaniishia
Hayaishi ooh
Hayaishi ooh
Siishiwi kukufikiria
Hayaishi ooh
We si uliniambia
Ulipotoka nyuma uliumizwa
Ukateswa ukaumia
Mapenzi, ukachukia
Tena ukanambia
Umeshachoka kutwa kulizwa
Ulikosea njia
Ulidhani mwanga kumbe giza
Ulinidanganya
Mi wa kufa kuzikana
Name nikazama
Kukupenda Baba
Ye si ndo alofanya
Ukalia sana
Moyo ukaugawanya
Mbona mmerudiana
Me siamini tena mapenzi
Wamerudiana
Wamerudiana
Ndo yule alomuumizaga
Wamerudiana
Alouponda moyo wake
Wamerudiana
Kumbe n’lipoteza muda
Kumpigia guitar mbuzi
Sikuju ungekuwa yuda
Ningepata maudhi
Mengi uliniambia
Haumpendi unamchukia
Nyongo imetumbukia
Hautaki hata kumsikia
Mnyonge nikakuhurumia
Chozi n’kakufuta pia
Yote yamesahaulika
Leo umemrudia
Yeallah bi huruma yangu
Ndio hiyonipopnza
Niliompa moyo wangu
Kanipa kidonda
Ulinidanganya
Mi wa kufa kuzikana
Name nikazama
Kakupenda Baba
Ye si ndo alofanya
Ukalia sana
Moyo ukaugawanya
Mbona mmerudiana
Siamini tena mapenzi
Wamerudiana
Wamerudiana
Ndo yule alomuumizaga
Wamerudiana
Alouponda moyo wake
Wamerudiana
N’tamtazamaje
N’tamtazamaje
Ecouter
A Propos de "Wamerudiana"
Plus de Lyrics de SARAPHINA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl