Paroles de Wastahili Bwana
Paroles de Wastahili Bwana Par REUBEN KIGAME
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Uliacha utukufu wako
Ukaishi kati yetu kwa mapenzi
Ulipatwa na simamzi ulinifia
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Uliwekwa kaburini Bwana
Ukafufuka wewe Bwana wangu
Ulipaa juu mbinguni na watawala
Nakusifu Yesu
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Ulibeba
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Wastahili
Wastahili Bwana
Wastahili
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Wastahili
Wastahili Bwana
Ecouter
A Propos de "Wastahili Bwana"
Plus de Lyrics de REUBEN KIGAME
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl