Paroles de Mrembo
Paroles de Mrembo Par REMY WANJAH
Remy Wanjah...
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
[Chorus]
Mrembo kwangu ni kama wimbo
Mrembo kwako nitaimba wimbo(Ooh nitaimba)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie(Nitunzie)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie eeehhh!
[Verse 1]
You're so fine
I don't wanna loose you girl, stay with me
My number one
Nasi jinsi ulivyoiteka vikali, kaa na mi
I wanna take you home to mama
Achana nao wamesema haitawezekana
Wenye wivu wanaomba tuachane
Daily naomba mungu mpenzi wangu tupendane
Me sijui story za ma slayqueen
You are my everything, you my main queen
Never been a playboy
Siwezi kusaliti mwengine sioni
Mrembo unaniwacha hoi
Kwako nimefika ukanifunga mboni
Lako penzi moto moto
Nipe love baby usinipimie
Usinicheze kama Lotto
Wasemayo mengi baby wapuuzie
Usinicheze kama Lotto
Wasemayo mengi baby wapuuzie
[Chorus]
Mrembo kwangu ni kama wimbo
Mrembo kwako nitaimba wimbo(Ooh nitaimba)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie(Nitunzie)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie eeehhh!
[Verse 2]
Sina ujanja kwako
Nipe love baby iwachome
Nimeng'ata kwako
Kama kupe wengine wanikome
You are my queen, am your king
Ukiniaca mi nitapata tabuu
You make me shine like a star
You are so precious kama dhahabu
Baby I wanna make you mine, for life
Pete kidole nikuvalishe eeh..
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
Mukobwa mwiza ubuzima bwanjye narabuguhayeee
[Chorus]
Mrembo kwangu ni kama wimbo
Mrembo kwako nitaimba wimbo(Ooh nitaimba)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie(Nitunzie)
Mrembo penzi langu naomba nitunzie eeehhh!
Ecouter
A Propos de "Mrembo"
Plus de Lyrics de REMY WANJAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl