Paroles de Sugu
Paroles de Sugu Par RAYVANNY
Kama zidani mprira iko gambani
Vile nawabana kapacha daga kwa Pani
Namwamini mungu funga virago shetani
Ndiyo makini akiwa mweusi baraka tumwite Nani
Kwenye binti nateleza
Japo sijasoma nachana Hadi kiingereza
Good morning how are you
Men that's simple
You do it for your own but I do it for my people
Nishataambika
Wala sikusikika
Wakalashika sahani
Nikakosa ningepika
Sasa Mambo yamejipa
Kila kitu uakika
Nanenepa wasafi kupiga sauti unatifa
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Naitwa rayvannyboy v vanny langu jina
Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina
Sijatoboa sikio
Sinywi piko Wala in
Tattoo ya kazi gani ngozi itaisha Zima
Visilani
Walokesha kupigapini
Hawaamini nikipelita wanaomba picha na Mimi
Zamani madem walinipiga chini saizi wananisumbua wao
Ray jibu langu lini
Heshima kwa watabiri walosema nitafeli
Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli
Sa mi Wasafii
Kuku kapona kidedi
Ukisikia bathday basi tukutane Sheri
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Niite raysugu
Sungura mla dubu
Vipi mama wa kambo ona linatema gubu
Mafuta na mashudu
Kipi unauusudu
Vunja kibubu isije kuwa mchele ama gubu
Nafurahi kuona matusi
Ya wanaonipinga
Waloninyima chero
Pindi napiga mizinga
Sasa nawapa kero
Zamu yao kuzinga
Kale kanipa Mila
Msishtuke nikivimba
Uswaze
Ndiko nakotoka
Sista du
Onya ukishatoka
Sitakuonga iphoni nitakuonga goroka
Simu ya kitochi ukacheze gemu ya nyoka
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu Nani
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Ecouter
A Propos de "Sugu"
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl