Paroles de Umejibeba
Paroles de Umejibeba Par PSYCHO
Pale kwa corridor nikichat
Msupa si anapita na ni fry
Kucheki hizo mathutha nikadai
Kumkuta aki ya nani akanideny
Namshow umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Uninyanyue unianikie
Ni kama nguo uninyanyue uninyanyue
Uninyanyue kama kenu
Umejiweka umejibeba
Umejiweka pahali pako siwezi lenga
Hizo thutha zimeweza nimezikemba
Zinashikiwa bawaba ni kama meda
Naziringita hizo madiaba mi nimezisepa
Katakata msupa ni ka ni sapa
Namlamba namshikisha ka ni mogoka
Nimkate msere nika kapuka
Mi ndio biggie hio are hapo Karura
Ka kuni ni mboka si wire ni nyoka
Maddam umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Nakusuka utadhani mi ni msusi
Niko na njaa si ukuwe yangu msosi
Mi napenda nyama nyama kwa mchuzi
Mi si kijana wa juzi niko na experience
Niko na kutu ni ka nimetoka Inda juzi
Kijana wa mkombero amebeba tu kikingi
Ikifika kwa punani sinanga samahani
Ushaiona doggy ikitorokea sahani?
Mi ni wa shot mbili lakini nare nare
Madem -- sambusa na anapenda smokie
Ka ni manzi wa me siwezi share na mbogi
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Ata uvae jeans bado sisi tuna suit
Kwani wakijua tunapendana kwani nini watadu?
Kijana anaitwa Nduati ule wa githungu
Anything you want me nitakupa in two two
Daily masurprise mpaka upige nduru
Hivo ndo inakam hivo ndo itakam through
Sema tu unataka sema tu you want twos
Siwezi kusuka hivyo alafu usema things can't
Kwanza beiby unapendeza
Na vile umejibeba unanitesa
Najaribu kuroga unanicheka
Alafu nakutupia lugha unanicheka
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Umejibeba na unalenga
Umejibeba na unalenga
Maddam nakusuka na unaringa
Nakusuka na unaringa
Ecouter
A Propos de "Umejibeba"
Plus de Lyrics de PSYCHO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl