Paroles de Nikupendeze
Paroles de Nikupendeze Par MERCY MASIKA
Oh
Oh
Oooh yeah
Oooh yeah
Yeah
Yeaaaah
Oh ooh uu
Oh ooh uu
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupendeze
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu naomba ah
Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo
Niguze nifinyange unibeebe
Niunde nitengeneze niwe kama wewe
Nikupendeze
Nikupendeze
Mhmmm
Yes
Eee
Mhmm mm
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe
Familia yangu marafiki zangu tuwe sawa nawe
Biashara zangu kila kitu changu kiwe sawa nawe ee
Niguze nifinyage unibeebe
Niunde nitengeneze niwe kama wewe
Ee baba ah maishani mwangu
Ee baba familia yangu
Oh baba yeah yea
Baba mienendo yangu
Oh yeah yeah
Oh yea yea
Nifanane nawe yesu niwe jinsi upendavyo
Niunde nitengeneze niwe kama we we
Oh nikupendeze
Eiye katika mienendo yangu
Aah niwe sawa nawe
Thank you nikupendeze
Ecouter
A Propos de "Nikupendeze"
Plus de Lyrics de MERCY MASIKA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl