Paroles de Moto
Paroles de Moto Par PSYCHO
Haha
Its your boy Vodoo ...round hii nawaletea the young Ogs
Psycho
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto aki hii ni moto
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto ita zima
Niko biz, please nipe peace
Ka ni mistari hauskii bado nitarelease
Mi ni Doctor na kutreat kama disease
Tuko in, theinie kama biz
Team sacco tunachoma kama pasi
Tunazitema madem wanatoa panty
Toka odi jo ka hauna manzi
Shika chini manzi ka hauna hazzy
Tuko studio jo man tuko kazi
Una ban ati art kwa magari
Unadai vijana wakulie wapi
Na huku mtaani, mabeast ni magwangi
Tuko uptown mpaka kule downtown
Team Psycho tunapenda tu kuhave fun
Tukiwai mnaskia tu kurun man
Sa hizo sisi tuko zile za wagwan
Underwater tunacheza chini ya waba
Form ni ureform hakuna kuwagwaya
Kata tenje tunawanasa(kama Rao)
Utaban hii ni moto kama lava
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto aki hii ni moto
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto ita zima
Motoo buda hii ni moto
Tunadai tu kukafunga tutoke msoto
Mi ndo narun hii town niite Mbuvi Sonko
Mafutani kikasuku sportpesa lotto(eey)
Voodoo seller si jina mtoto
Mi ndo fyatu kila ghetto we ulizia soko
Undercover utadhani Koinange Poko
Monkey biz buda itabidi upeleke Congo(eey)
Nikikosa kumanga mi hukua Psycho
Nakupa hook moto buda Tyson
Tukikata hiyo tenje si utabuy phone
Walenje ka hutatoa buda sai go
Ka ni verse fat karakishi
Na beat imepikwa Black Jack ndo wapishi
Mi huseti ladha keti down tu dishi
Na spice down kila track utadhani mi ndo richy
Slide in the beats skiza verse hii ndio candy bar
Hard in the speech nipe verse ki Papa Nginda
Tingisha kichwa au uitoke tu ki odi dance
Kwa mkono nina mbota ngota trick tangia patika
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto aki hii ni moto
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto ita zima
Mdenge hio game tushasafisha
Leta kununa jua doba ni motoo
Ota mahater wakiwa na mapoko
Wapigwe kuni ju najua wako kutu
Ki asanti sana nawaroga nawatesa
Haga nono kama ya Vera Sidika
Shika nanga naskia nimeririma
Si unajua ni Iano ulinisniza kibuda
Shika mic nawaroga kama mganga
Kata wembe toa juala hiyo ndo kinga
Piga seti iweka na mjanja na mada
Team Psycho tunatema hadi mahater wanateta
Ati
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto aki hii ni moto
Moto(moto)
Moto(moto)
Moto ita zima
Ecouter
A Propos de "Moto"
Plus de Lyrics de PSYCHO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl