Paroles de Give Me Chance
Paroles de Give Me Chance Par PRODUCER BONGA
Hello mami
Kuna jambo nataka nikueleze yeah
Ulivyo vaa, unavyo ng'aa yaani
So amazing yeah
Ulivyong'aa kwa miparu, paru
Mix ya powder na viwalu, waluu
Usipagawe na mabaro, baro
Unanifaa sana
Nataka nikuweke ndani
Nikutunzie yako heshima
Nikupe yale ya unyamani
Nizame hata kina
Olaa eh, olaah eh
Nipe nafasi stop --
Coz I love you
Olaa eh, olaah eh
Unipe pande la pasi
Nitakupa ubavu (Olaa eh, olaah eh)
Unipe chance---
Coz I love you
Olaa eh, olaah eh
Unipe pande la pasi
Give me chance, give me chance
Give me chance
Give me chance, give me chance
Give me chance
Tuliza boli baba uwanja mdogo
Naona uko raba ngoja kidogo
Mara huku hapa,
Na unazidi kaba ungali robo
Naona moyo wa bandia
Macho tu yaeleza
Hayo unayoniambia
Wenzako washamaliza
Ukitaka chance hautofiti
Hata kwa nini hauniwezi
Kwani guest kwani vipi
We ni mshamba wa mapenzi
Ukitaka chance hautofiti
Hata kwa nini hauniwezi
Haunidanganyi kwa Vitz
We ni mshamba wa mapenzi
Give me chance, give me chance
Give me chance
Give me chance, give me chance
Give me chance
Ecouter
A Propos de "Give Me Chance"
Plus de Lyrics de PRODUCER BONGA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl