
Paroles de Yatapita
...
Paroles de Yatapita Par PHINA
Uuuuhh uuuuhh
Mmmhh
Hili nalo litapita
Kama yale yalivyopita oh yeah
Tunaridhika na vyetu
Wala sio vya kuba mmmh
Mlo mmoja kwa siku
Lakini tunashiba yeah
Tushate mbea pekupeku
Tukachomwa na miiba
Tulishaugua mchana usiku
Hatukupata tiba ooh yeah
Maumivu juu ya maumivu
Hili nalo litapita
Kama yale yalivyopita oh yeah
We are the chosen
We are the champions
Hili nalo litapita
We are the chosen
We are the champions
Kama yale yalivyopita
Yalivyopita yalivyopita
Kama yale yalivyopita
Yalivyopita yalivyopita
Hili nalo litapita
Victory is my story
Tomorrow holds the glory
Even though it seems
That i’m falling
All of this is temporary
Wanatoumbea kifo hatufi (bado tunadumda)
Mungu wetu haututupi
Sema woyo woyo woyo (woyo woyo woyo)
Woyo woyo woyo (woyo woyo woyo)
Maumivu juu ya maumivu
Hili nalo litapita
Kama yale yalivyopita oh yeah
We are the chosen
We are the champions
Hili nalo litapita
We are the chosen
We are the champions
Kama yale yalivyopita
Yalivyopita yalivyopita
Kama yale yalivyopita
Yalivyopita yalivyopita
Hili nalo litapita
Ecouter
A Propos de "Yatapita"
Plus de Lyrics de PHINA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl